Home » » VIDEO: Msikilize Rais Magufuli Akipiga Marufuku Michango Yote Shuleni

VIDEO: Msikilize Rais Magufuli Akipiga Marufuku Michango Yote Shuleni

Unknown | Wednesday, January 17, 2018 | 0 comments

Rais Dkt. John Magufuli leo Januari 17, 2018 amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za Serikali za msingi na Sekondari na kuwaagiza waziri Suleiman Jaffo na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kusimamia hilo.
Msikilize JPM hapo

Advertisement
==
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG