Mahakama ya Tanzania itaadhimisha siku ya sheria nchini Tarehe 1/02/2018,maadhimisho hayo yatatanguliwa na wiki ya sheria itakayoanza Tarehe 27/01/2018 na kuhitimishwa tarehe 1/02/2018.
kitaifa maadhimisho hayo yatafanyika Jijini Dar es Salaam kwa wilaya ya Makete kilele cha maadhimisho hayo kitafanyika katika viwanja vya mahakama ya wilaya ya Makete Tarehe 1/02/2018 saa 2:30 asubuhi.
MAUDHUHI YA SIKU YA SHERI NCHINI MWAKA HUU NI.
MATUMIZI YA TEHEMA KATIKA UTOAJI WA HAKI KWA WAKATI NA KWA KUZINGATIA MAADILI
0 comments:
Post a Comment