Na. Dokta Mungwa Kabili …………….0744 000 473.
Pete
ya Immoring ni pete ambayo imejizolea umaarufu mkubwa sana
miongoni mwa wakaazi mbalimbali wa nchi za Afrika Mashariki na
Ukanda wa Maziwa makuu kwa ujumla.
Nimekuwa
nikipoea simu na jumbe kutoka kwa watu mbalimbali wakitaka
niwasaidie kujua namna pete ya Immoring inavyo fanya kazi
pamoja na kuwaelesha uhusiano uliopo kati ya pete ya Immoring na
suala zima la kusafisha, kuimarisha na kupandisha nyota, kutunza
na kukinga nyota pamoja na mwili wa mwanadamu kwa ujumla
Yafuatayo ndio majibu yangu.
Kabla
sijaanza kuelezea kuhusu pete ya Immoring ni vyema nikaelezea
nyota ni nini ? Ili kusudi unapotaka kujua uhusiano kati ya
pete ye Immoring na masuala ya nyota, uwe unajua kinaongelewa
kitu gani.
Nyota Ni Nini ?
Kwa lugha rahisi na nyepesi kabisa nyota ni ramani ya maisha ya mtu ambayo ameandikiwa na Mwenyezi Mungu.
Utajuaje Kama Nyota Ya Mtu Ni Safi Au Chafu ?
Utajuaje Kama Nyota Ya Mtu Ipo Juu Ama Ipo Chini ?
Utajuaje Kama Nyota Ya Mtu Ni Mbaya Au Nzuri ?
Kiashiria
kikuu cha daraja ama hadhi ya nyota ya mtu ni namna mambo
yanavyo muendea mtu huyo katika maisha yake. Au kwa njia rahisi
kabisa unaweza kujua daraja ama hadhi ya nyota ya mtu kwa
kuangalia kiwango cha riziki anayo ipata katika kazi ama
shughuli zake za kila siku katika maisha.
Mtu
mwenye nyota ya juu hata riziki yake itakuwa juu pia na
Yule wa nyota ya chini riziki yake itakuwa chini pia kama
ilivyo nyota yake.
Nyota Na Sehemu Kumi Na Mbili Za Mwili Wa Mwanadamu
Kwa
kawaida ili mwanadamu aishi maisha ambayo watu wengine
wakiyatazama wanaweza kukufuru na kusema mtu huyo kapendelewa,
basi mtu huyo anapaswa kuwa na nyota 12 ambazo idadi yake ni
sawa sawa na idadi ya sehemu kumi na mbili za mwili wa
mwanadamu.
Katika
ulimwengu wa kitabibu na kinyota mwili wa mwanadamu
umegawanyika katika sehemu ndogo ndogo kumi na mbili ambazo
zimegawanyika katika sehemu kuu mbili.
Sehemu
hizi kuu mbili za mwili wa mwanadamu zinaunganishwa na
kutenganishwa na kitovu. Sehemu ya kwanza ni sehemu ya juu
kabisa ambayo inaanzia utosini hadi juu ya kitovu ilihali
sehemu ya pili ni sehemu ya chini ambayo inaanzia chini ya
kitovu hadi kwenye unyayo.
Sehemu
ya juu imegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo kila sehemu
moja kati ya sehemu hizo tatu imegawanyika katika sehemu
ndogo ndogo mbili mbili kila moja Vivyo hivyo sehemu ya chini
nayo imegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo nazo pia
zimegawanyika katika sehemu ndogo ndogo mbili mbili kila moja.
Kila
sehemu moja katika sehemu hizi kumi na mbili za mwili wa
mwanadamu inawakailisha na kusimama badala ya nyota moja.
Sasa
basi ili tuseme mtu Fulani nyota yake ipo juu, basi mtu huyo
lazima awe amekamilisha idadi ya nyota zote kumi na mbili
ambazo zinakamilisha idadi ya sehemu kumi na mbili za mwili wa
mwanadamu.
Kwanini ni watu wachache tu ndio wanao kamilisha idadi ya nyota zote kumi na mbili?
Ni
watu wachache sana duniani ambao wanakamilisha nyota zote kumi
na mbili. Ni mtu mmoja katika maelfu . Sababu kuu ni fitna na
dhulma zinazo fanywa na wachawi kwa kushirikiana na majini na
masheitwani wachafu katika kushusha ama kuiba na kuzitumia
nyota za watu mbalimbali.
Matokeo
yake, limekuwa suala gumu sana kukutana na mtu ambaye ana
nyota zote kumi na mbili. Sio tu nyota zote kumi na mbili
bali hata nyota kumi na moja, kumi, tisa, nane au hata saba.
Idadi
kubwa ya watu tunao waona mtaani na kudhani wamefanikiwa sana
katika maisha, wanachezea kwenye nyota nne hadi tano. Hawa ni
watu walio katika kundi la watu ambao katika ulimwengu wa
kitabibu na kinyota wanajulikana kama watu wanao fanikiwa chini
ya kiwango chao.
Wengine nyota zao hushuka hadi kuwa nusu, sifuri, hasi moja, hasi sita na chini ya hapo.
Mtu
mwenye nyota sifuri ni mtu ambae katika ulimwengu wa kinyota
na kitabibu anatajwa kama mtu ambae anapita duniani bila
kuonekana. Ni mtu ambae riziki yake hapa duniani ni sifuri.
Mtu
ambae nyota yake imeshushwa hadi kufikia hasi sita ( -6 ) ni
mtu ambae katika ulimwengu wa kinyota na kitabibu tunasema
nyota yake imekuwa sawa sawa na nyota ya mtu aliyelala
kaburini . ( Nyota ya Kaburi / Nyota ya maiti)
Wakati
mwingine nyota ya mtu inaweza kushushwa hadi kufikia hasi
Arobaini na mbili ( -42). Mtu mwenye nyota hii ni mtu ambae
katika ulimwengu wa kitabibu tunasema nyota yake imechukuliwa na
nafsi yake imefungwa kwenye makaburi saba. Mtu alie katika
kundi hili anakuwa amefungwa kwenye makaburi saba tofauti
tofauti na kama ni mwanamke basi tunasema amefungishwa ndoa na
makaburi saba.. Na inapotokea mwanamke akawa katika kundi hili
basi mara nyingi fitna yake inakuwa imetokana na ugomvi wa
kugombea mwanaume au ugomvi wa mapenzi ulio fuatia kuachana
kati yake na mpenzi, mchumba au mume wake. Mwanamke huyu
hukusudiwa aitulie katika ndoa yake, kila ndoa au uhusiano
kwake uwe sawa na kaburi na kama kutulia basi atulie kwa mume
wake wa saba ambae ni kaburi halisi.
Tofauti
na mtu ambae nyota yake imeshuka na kufikia sifuri, mtu ambae
nyota yake imeshushwa hadi kufikia ( -6 ) au ( -42) ni mtu ambae
ramani ya maisha yake imegeuzwa juu chini ama nje ndani. Ni
mtu ambae amekusudiwa kichawi kwamba, aishi maisha yake ya
kaburini akiwa hapa duniani na maisha ya duniani aende
kuyaishi akiwa kaburini.
Watu
walio katika kundi hili ndio watu wanaokujaga kusumbua sana
baadae kama mizimu mara baada ya maisha yao ya hapa duniani
kufika tamati.
Sababu Kwanini Nyota Ya Mtu Inaweza Kushushwa.
Zipo sababu kuu mbili zinazo weza kufanya nyota ya mtu ikashushwa:
1. Husda, chuki na choyo dhidi ya mtu anaeonekana kuwa na nyota kubwa.
2.
Ubinafsi na Tamaa ambao hupelekea mtu mmoja kuiba nyota ya
mwenzake kwa ajili ya kuitumia kwa matumizi yake binafsi huku
akimuacha muibiwa akiwa anahangaika ilihali alikuwa na nyota
nzuri tu.
Jinsi Nyota Ya Mtu Inavyo Shushwa
Zipo
njia nyingi sana zinazo weza kutumika kushusha nyota ya mtu
nikisema nizitaje zote hapa ninaweza kuandika kitabu kizima.
Ninacho kieleza hapa ni sababu za kitabibu zinazo weza kufanya
nyota ya mtu kushuka.
Kama
nilivyo sema hapo awali kuwa mwanadamu anapaswa kuwa na nyota
zote kumi na mbili ili asemwe kuwa ana nyota kali. Hii ni
kwa sababu mwili wa mwanadamu umegawanyika katika sehemu kumi
na mbili. Kikiongezeka kitu cha kumi na tatu basi mwanadamu
huyo lazima apate madhara kwa sababu anakuwa amewekwa ndani
yake kitu ambacho hakina uhusiano na mwili wake.
Jinsi
Inavyokuwa : Atatumwa jinni ambae nguvu yake ya kijini ni hasi
( -6 ) kwa mfano. Jinni huyu atatumwa kwenda kukaa kwenye mwili
wa mwanadamu mwenye nyota kumi na mbili
Kwa sababu jinni huyu nguvu yake ama nyota yake ni ( -6 )
na anaenda kuungana na mtu ambae nguvu ya nyota yake ni 12.
Maana yake ni hii ( -6 ) inajumlishwa na 12 ambapo tunapata 6.
Kwa lugha nyepesi, jinni huyu atasababisha nyota ya mtu huyu
ishuke kutoka 12 hadi 6 , na linapotokea jambo hilo basi mambo
ya mtu huyo yanaanza kubadilika taratibu ( Majini ambao nguvu
zao katika ulimwengu wa kiroho ni kuanzia ( -1 ) na kuendelea
ni majini wa makaburini).
Mtu
huyo huyo tena baadae anaweza kutumiwa majini wengine mfano
wawili ambao kila mmoja nguvu yake ni ( -7 ). Hasi 7 mara mbili
ni Hasi 14 na -14 jumlisha 6 ni Hasi 8. Mtu anapofikia hatua
hii basi nyota yake inakuwa imeshushwa hadi chini ya kaburi
na mambo yake yataanza kuharibika na kuwa mabaya siku hadi siku
na asipo shituka mapema basi anaweza kuishia hivyo hivyo hadi
umauti wake.
Njia
ya pili ni ile ya kuiba nyota za mtu au watu husika. Hapa
atatumwa jinni maalumu kuja kuiba nyota zote kumi na mbili za
mtu Fulani na kuzipeleka kwa mchawi ambae amemtuma shughuli hiyo.
Mtu ambae nyota zake zimeibiwa ataanza kuishi maisha ya mateso
na kupata riziki kwake itakuwa ngumu sana kwa sababu nyota
zake zinakuwa zimechukuliwa kwa nguvu na kwenda kutumia na mtu
mwingine.
Mara
nyingi watu w anao iba au kuagiza kuibwa kwa nyota hizi ni
watu ambao hutaka kupata maradufu zaidi ya kile wanacho kitaka
ambapo katika ulimwengu wa kitabibu watu hawa hulazimika kuiba
nyota nzuri za watu wengine na kuzitumia kwenye shughuli zao
za kutafuta riziki.
PETE YA IMMORING NA NYOTA
Pete ya Immoring ni Nini ?
Kujua
pete ya Immoring Ni Nini fuatilia makala zangu za nyuma ambazo
niliwahi kuandika kwa ufupi kuhusu pete hii.
Katika ulimwengu wa kitabibu na kinyota, pete ya Immoring hufanya mambo yafuatayo:
1.
Pete Ya Immoring Hutumika kama Hoza la Kupooza Uchawi au
Nguvu Hasi ambazo zimeelekezwa kuingia kwenye mwili wa mtu Pete
ya Immoring hufanya kazi kama mmea ujulikanao kama Hoza. Mmea
huu uitwao Hoza hutumika kitabibu kupooza uchawi ambao mtu
ametupiwa. Hutumika kuogea, kuchanjiwa na kupikwa nyungu au kama
fusho kwa lengo la kupooza uchawi ama nguvu yoyote hasi iliyo
tumwa ama kujilekeza yenyewe kwenye mwili wa mtu Fulani.
Pete
ya Immoring hutumika kupooza uchawi ama nguvu hasi (nguvu ya
majini wabaya ) ambayo imetumwa kumuingia mtu alie ivaa. Hii
hutokea pale nguvu hiyo inapokuwa kubwa kuliko nguvu ya nyota
ya muhusika .
Mathalani
mtu ambae nyota yake ni 12, akitumiwa jinni ambae nguvu zake
ni hasi 36 jinni huyo atamdhuru mtu huyo. Sasa basi inacho
kifanya pete ya Immoring ni kuupooza uchawi ama nguvu ya
jinni huyo na kisha kutoa taarifa kwenye kinga ya mtu huyo
kuhusu kufanyika kwa shambulio la kiroho lililo shindwa dhidi ya
mtu huyo kwa lengo la kumfanya tu mhusika atambue kuwa kuna
uadui umejaribu kumdhuru lakini umeshindwa.
2. Pete Ya Immoring Hutumika Kama Kinga Dhidi Ya Shari za wachawi na masheitwani wabaya
3.Hutumika
kusafisha na kupandisha nyota Katika kusafisha na kupandisha
nyota, aina ya pete ya Immoring itakayo tumika itategemeana na
kiwango cha nyota alicho nacho mtu na kiwango cha nyota anacho
kitaka. Kwa mfano mtu amabe nyota yake imeshuka hadi sifuri
na anataka nyota yake ipande hadi kumi na mbili basi
atalazimika kutafuta pete ya Immoring ambayo nguvu yake ni 12 .
Nakadhalika.
4. Pete ya Immoring husaidia kuunganisha nyota ya mvaaji na nguvu ya mungu jua.
5.
Pete ya Immoring hutumika katika matambiko yote ya jua kuanzia
tambiko la biashara , kinga ya mwili, kutibu nguvu za kiume kwa
kutumia tambiko la jua nakadhalika.
6.
Pete ya Immoring hutumika kama mbadala wa fusho la jua. Fusho
la jua ni fusho linalo tumika katika tambiko la jua.
7. Pete hii hutumika kuunganisha nguvu ya mvaaji na nguvu ya bahari.
8.
Pete ya Immoring hutumika katika tambiko maalumu kwa kufanya
kitu au jambo lisionekane tena kwa kutumia mawimbi tisa ya
bahari na mti ulioletwa na mawimbi ya bahari au mafuriko na
zaafarani nyekundu.
9.Kwa
wale wanao kwenda baharini kuoga ama kuchukua maji ya bahari
kwa ajili ya kutoa mikosi au kusafisha nyota basi pete ya
Immoring ni nyenzo muhimu sana kwao.
10. Hutumika kuunganisha nyota ya mvaaji na nguvu ya hewa
11. Hutumika kuunganisha nyota ya mvaaji na nguvu ya ardhi
12.
Hutumika kama antenna inayo fanya kazi ya kuvuta, kunasa na
kuchakata nguvu zote za kiroho zinazo elekezwa kwa mvaaji
IMESIMULIWA NA DOKTA. MUNGWA KABILI…0744 000 473.
1 comments:
Hello Niko Nairobi nitaipata aje hi Pete?
Post a Comment