Wakristo
Wilayani Makete Mkoani Njombe wametakiwa kuishi Maisha ya Kristo katika Maisha
yao ya Kila siku na Ujio wa Yesu Kristo
Askofu
Mteule wa Dayosisi ya Kusini Kati Wilibesa Sanga amesema Kamawakristo wataishi
Maisha ya kutambua uwepo wa Mungu Maishani Mwao utawafanya Kuurihi uzima
waMilele
Pia
Askfu Mteule Sanga amesema katika Maisha haya ya mpito Duniani Jamii inaweza
kubadili uhalisia wa Maisha na Utukufu wa Mungu
0 comments:
Post a Comment