Ngo'mbe
119 waliokamatwa wakichungwa ndani ya pori la akiba Maswa kinyume cha
sheria, wameuzwa kwa amri ya Mahakama ya Mkoa wa Simiyu.
Akizungumza
na ITV kabla ya kuanza kwa mnada huo uliofanyika katika kambi ya
Nyasosi ndani ya pori hilo,afisa wanyamapori wa pori hilo Michael
Shirima amesema kabla ya kufanyika kwa mnada huo taratibu zote za
hifadhi zimefuatwa ambapo pia amewataka wafugaji waache kuingiza mifugo
yao ndani ya hifadhi hiyo
Chanzo: ITV
0 comments:
Post a Comment