Nape
amethibitisha kutokea kifo cha Mayage na kusema ameumizwa sana kwani
kama chama wamepoteza mtu makini ambaye alikuwa akisimamia ukweli na
mwanachama wa kweli ndani ya chama hicho cha CCM.
"Nakulilia
kaka yangu Mayage! Nilizunguka nawewe ziarani nikiwa Mwenezi,
nilijifunza mengi sana kwako! Pumzika kwa amani kada wa kweli wa CCM na
mkweli sana, hata pale ukweli unapouma! Binafsi natambua mchango wako" alindika Nape Nnaupe
0 comments:
Post a Comment