Home » » RC Njombe atembelea Hospitali ya Consolata Ikonda

RC Njombe atembelea Hospitali ya Consolata Ikonda

Unknown | Thursday, February 01, 2018 | 0 comments
SeeBait
 Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh Christopher Ole Sendeka (katikati) akisaini kitabu cha wageni katika hospitali ya Consolata Ikonda, Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Veronica Kessy. Mkuu wa mkoa amefanya ziara hospitalini hapo jana januari 31, 2018
 Mkuu wa mkoa akipatiwa maelezo katika kitengo cha Viungo bandia hospitali ya Consolata Ikonda
 Mkuu wa Mkoa akiwa ameshika Mguu Bandia uliopo hospitalini hapo
 Muonekano wa Hospitali ya Consolata Ikonda
 Mkuu wa Mkoa akizungumza na watumishi wa hospitali hiyo
 Baadhi ya watumishi wa hospitali hiyo


Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG