Home » » RC Njombe akoshwa na Sekondari ya Makete Girl's

RC Njombe akoshwa na Sekondari ya Makete Girl's

Unknown | Thursday, February 01, 2018 | 0 comments

Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka akisalimiana na walimu wa shule ya sekondari ya wasichana Makete Girl's alipofanya ziara shulleni hapo jana Januari 31, 2018
 Mkuu wa shule hiyo Mwalimu Sayuni Sanga akisoma taarifa ya shule kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe Ndugu Jasel Mwamwala akizungumza kwenye ziara hiyo
 Mkuu wa mkoa akikagua miundombinu ya shule hiyo
 Mkuu wa Mkoa wa Njombe akikagua vyoo vipya vilivyojengwa shuleni hapo
 Muonekano wa shule 
 Bweni wa wanafunzi hao
Kiranja Mkuu akizungumza kwenye ziara hiyo ya mkuu wa mkoa
 Mkuu wa mkoa akizungumza na wanafunzi hao
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG