Home » » MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WANAHABARI JUU YA MASWALA YA USAWA KIJINSIA YANAENDELEA MJINI DODOMA.

MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WANAHABARI JUU YA MASWALA YA USAWA KIJINSIA YANAENDELEA MJINI DODOMA.

Unknown | Friday, February 09, 2018 | 0 comments


 
Waandishi wa habari kutoka redio za jamii nchini wameendelea kujengewa uwezo juu ya maswala ya habari za uchunguzi mafunzo yanayoendelea mjini Dodoma ndani ya ukumbi wa TBA
Wakitaja baadhi ya changamoto zinazowakabiri waandishi hao katika utekelezaji wa majukumu yao wawapo  kazini ni kukosa ushirikiano kwa vyanzo husika vya habari jambo ambalo hupelekea kucheleweshewa kukamilisha taarifa kwa wakati.
Waandishi hao wakiwamo wa kituo cha redio kutoka bunda wamesema kumekuwa na ugumu wa kutoa taarifa kwa jamii kutokana na viongozi kutaka kutekeleza kero hizo pasipo kuripotiwa katika vituo vya redio.
Nae mwandamizi wa mafunzo hayo Bi.ROSE MWALIMU amewataka waandishi wa habari kufuata maadili ya kazi zao ikiwa ni pamoja na kusikiliza matakwa ya vyanzo vyao vya habari ili kulinda kazi zao pamoja na vituo vya redio kiujumla.
Tazama baaadhi ya picha za washiriki:-



























Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG