Kituo cha mabasi yaendayo mikoani mjini Dodoma kimetoa fursa za ajira kwa
waendesha pikipiki –bodaboda- kutokana na mwingiliano wa watu
Wakizungumza na waandishi wa habari baadhi ya waendesha bodaboda wamesema mwingiliano wa watu katika mji wa Dodoma umesababisha upatikanaji wa ajira
kwao.
Pamoja na mafanikio hayo wamesema wanakabiliwa na changamoto mbalimbali kwa
baadhi ya abiria kuwafanyia vitendo vya uhalifu ikiwemo kuwanyang’anya pikipiki
zao
Insert......no 2
Aidha wameiomba serikali kuwapatia elimu itakayo wawezesha kujiunga na
vikundi vitakavyowasaidia kutatua changamoto zao.
Kwaupande wa baadhi ya wanawake wanaojishughulisha na biashara
ndogondogo katika eneo hilo wamesema pamoja na kuwepo kwa biashara ya bodaboda
lakini biashara yao ya uuzaji wa zabibu imekuwa ngumu.
Pendekezo.
·
Wewe kama
mwandishi wahabari unafikilia ni kitugani kifanyike ili kuendeleza hilo jambo
·
Ukipata
nafasi ya kuwambia watunga sera utawambia nini?
Majibu.
Ili kazi ya uendeshaji bodaboda iweze kuwa endelevu ni muhimu jamii
kuwapatia elimu kwa kushirikiana na wadau.
Na pia wameomba serikali pamoja na watunga sera watunge sera zitakazo
wasaidia katika kuboresha kazi yao.
·
0 comments:
Post a Comment