Home » » Video: Mume amfyeka Mikono Mkewe kwa Kushindwa Kumpikia Chakula

Video: Mume amfyeka Mikono Mkewe kwa Kushindwa Kumpikia Chakula

Unknown | Monday, January 22, 2018 | 0 comments

Mwanamke mmoja Nchini Kenya anauguza majeraha hospitalini alikolazwa baada ya kukatwa mikono na mume wake wa ndoa kwa madai kuwa hajampikia chakula

Taarifa hiyo imeripotiwa na kituo cha televisheni cha KTN cha nchini Kenya kama video hii hapa chini inavyoonesha, unaweza kuiangalia kwa kubonyeza play hapo chini:-
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG