Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole
amemtahadharisha Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwakumwambia kuwa
kipindi hiki ni cha mwisho kuongoza Jimbo hilo la Arusha Mjini.
Hayo
yamekuja mara baada ya Mbunge huyo kupitia kurasa zake za twitter
kujibizana huku Lema akionyesha kumhoji Polepole kama familia yake huwa
inamuelewa kweli anachokizungumza.
“Term
ya mwisho Arusha, tunataka Mbunge wa Masuala na si wa Matukio, hata
mkichezesha draft ili uende Hai, haitawezekana maana hata “fly to…” maji
yako shingoni, na ukiamua kurudia kazi yako ya zamani. anko Siro is
very serious,”ameandika Polepole
0 comments:
Post a Comment