Home » » Ndalichako: "Mbona TBA Mnataka kujenga Nyumba za Kifisadi?" (VIDEO)

Ndalichako: "Mbona TBA Mnataka kujenga Nyumba za Kifisadi?" (VIDEO)

Unknown | Thursday, January 25, 2018 | 0 comments


Waziri wa elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof Joyce Ndalichako amewataka wakala wa Majengo Nchini TBA wanaojenga nyumba nne za walimu Chuo cha VETA Makete kuacha kujenga nyumba za kifisadi

Ameyasema hayo akiwa chuoni hapo kujionea ujenzi huo unavyoendelea na kushangazwa na taarifa inayosema kuwa nyumba moja itajengwa kwa zaidi ya shilingi milioni 160

Mtazame kwa kubonyeza play hapo chini:-


Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG