Home » » MBUNGE WA JIMBO LA MAKETE KWENYE MAAFARI YA SABA (7) KIDATO CHA SITA IWAWA SEKONDARI

MBUNGE WA JIMBO LA MAKETE KWENYE MAAFARI YA SABA (7) KIDATO CHA SITA IWAWA SEKONDARI

Unknown | Wednesday, May 02, 2018 | 0 comments

Mbunge wa jimbo la MAKETE PROF.NORMANI ADAMSONI SIGARA KIN'G ameahidi kuchangia ukarabati wa madarasa na vifaa vya michezo katika shule ya secondari IWAWA.

MH.SIGARA KIN'G, ameahidi hayo wakati wa hotuba yake akiwa mgeni rasmi kwenye maafari ya saba (7) kidato cha sita hivi karibuni.

aidha MH,SIGARA KIN'G amewataka wanafunzi wa sekondari kuepuka vishawishi pindi wawapo shuleni,nakufanya juhudi kubwa katika masomo ili kufikia ndoto zao,

Kwaupande wake mkuu wa SHULE YA SEKONDARI IWAWA MWL.DONANDO Ameeleza changamoto zinazo ikabili shule hiyo kuwa nipamoja na uchakavu wa baadhi ya vyumba vya madarasa,vifaa vya michezo,na upungufu wa mabweni.

Wazazi na walezi walio hudhuria maafari hayo wameeleza kufurahishwa na hutuba ya mgeni rasmi huku waki mshukuru kwa mchango wake.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG