
Martha Mwaipaja amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kupitia ukurasa wa facebook wa EATV na kudaikwamba yeye amekuwa hawaelewi watu ambao wanafanya zinaa halafu wanasema wamepitia na shetani na kudai kuwa hilo jambo si kweli kwani wao wanapofanya hivyo wanakuwa wanatambua na kupanga kufanya tendo hilo ndiyo maana hawawezi kulifanya wakiwa sebuleni.
0 comments:
Post a Comment