Waziri
Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema,Mheshimiwa Edward Lowassa
akitia sahihi kwenye Kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mzee Kingunge
alipowasili jana jioni
Mbali na Lowassa pia walikuwepo viongozi wastaafu wa serikali kama Mzee Pius Msekwa na mkewe Mama Anna Abdalah,Waziri Mkuu wa zamani Mheshimiwa Salimu Ahmed Salimu,na aliyekuwa Kamanda wa Polisi Dar es Salaam Suleiman Kova.
Kingunge
alifariki alfajiri ya jana Ijumaa februari 02, katika hospitali ya
Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kutokana na kujeruhiwa na mbwa
nyumbani kwake jijini Dar
Mzee Kingune anatarajiwa kuzikwa Jumatatu 05,2018,katika Makaburi ya Kinondoni Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment