Home » » Binti anayedaiwa kuwa Mchawi aanguka kwenye Nyumba Njombe, azua Taharuki

Binti anayedaiwa kuwa Mchawi aanguka kwenye Nyumba Njombe, azua Taharuki

Unknown | Monday, February 05, 2018 | 0 comments
Wananchi wa kijiji cha Usita wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe wamekumbwa na taharuki baada ya binti mmoja anayedaiwa kuwa mchawi kuanguka kwenye nyumba moja ya mkazi wa eneo hilo 

Tukio hilo ambalo limeacha gumzo, limetokea na kuwaacha hoi wananchi hao huku wananchi wakielezea ilivyokuwa
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG