Baada ya albam ya Asante Mama kupokelewa vizuri sasa mwana muziki wa kike kutokea nchini Kenya Nairobi, Ecisiara Mueni anazidi kufanya vizuri katika Collable ya wimbo unaoitwa Wema wa Mungu ulio shirikisha Mastar wa Mziki wa Injili Matha Baraka na Aldo Sanga kutokea Nchini Tanzania.
waimbaji hao wa muziki wa Injili wamefanya wimbo wapamoja lengo nikuitangaza Injili ya kristo duniani kote,
Aidha
bi,Mueni amesema umefika wakati wa kila mwimbaji kufanya muziki katika
viwango vya juu ili kuendana na soko la muziki duniana.
tazama wimbo huu kupitia yotube,
0 comments:
Post a Comment