Home » » Rais Magufuli awapa neno hili Watanzania

Rais Magufuli awapa neno hili Watanzania

Unknown | Monday, December 25, 2017 | 0 comments
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kuwatakia heri Watanzania wote katika kusherehekea siku ya Christmas na mwaka mpya



Magufuli ametoa salamu zake hizo kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa ambapo rais amewataka Watanzania kusherehekea sikukuu hizo kwa utulivu na amani na kuwataka Watanzania mwaka 2018 kuwa pamoja ili nchi iweze kufanikiwa zaidi na zaidi.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG