BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO YA SIKU YA KUADHIMISHA SIKU YA MADIHANI VILLAS LODGE.
Maandalizi wa maakuli ndani ya MADIHANI VILLAS LODGE
ASKOFU MTEULE WILISONI SANGA AKIBADILISHANA MAWAZO NA ASKOFU MSTAAFU MANYEWA NDANI YA MADIHANI
MSAIDIZI WA MKURUGENZI WA MADIHANI VILLAS LODGE AKIJARIBU KUCHEKI MAAKULI
BAADHI YA WAALIKWA WAKI PATA CHAKULA NA VINYWAJI
MEZA FULL MAAKULI
MKURUGENZI MSAIDIZI AKIHUDUMIA WAGENI WAALIKWA
MKURUGENZI AKITOA MAWAZO NA JINSI ALIVOFANIKIWA KUWEKEZA MAKETE IKIWA NI NYUMBANI .
KILA MGENI MWALIKWA AMEPATA ZAWADI YA DAYALI YENYE KALENDA YA MWAKA 2018
WAFANYAKAZI WAKIPEWE ZAWADI NA MKURUGENZI KWA KAZI NZURI WALIYOIFANYA TANGU KUANZISHWAKWA MADIHANI VILLAS LODGE
0 comments:
Post a Comment