Home » » Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa afariki dunia baada ya gari lake kuangukiwa na lori la mafuta

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa afariki dunia baada ya gari lake kuangukiwa na lori la mafuta

Unknown | Sunday, April 15, 2018 | 0 comments
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kongwa, Izengo Ngusa, amefariki asubuhi ya leo Aprili 15 kwenye ajali ya gari,

Taarifa zilizotufikia zinasema gari dogo alilopanda Mkurugenzi huyo, lenye namba za usajili T619 DMA aina ya Toyota Crown Athlete, liliangukiwa na lori lililobeba mafuta,

Ajali hiyo imetokea eneo la Mbande Makaravati mkoani Dodoma.

Advertisement
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG