Home »
» Wakili Wambali: Mawakili wakitenda haki itasaidia Kupunguza Mlundikano wa Kesi
Wakili Wambali: Mawakili wakitenda haki itasaidia Kupunguza Mlundikano wa Kesi
Unknown | Sunday, February 04, 2018 | 0
comments
Wakili wa kujitegemea Rosemarry Wambali kutoka wilaya ya Makete mkoa wa Njombe amesema mawakili wote nchini wana nafsia kubwa ya kuboresha utendaji kazi wa mahakama na kuhakikisha haki inatendeka Amesema hayo katika hotuba yake siku ya sheria nchini iliyoadhimishwa kiwilaya katika viwanja vya mahakama ya wilaya ya Makete
Tazama Video yake hapa
Related posts:
If you enjoyed this article just click here, or subscribe to receive more great content just like it.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment