Ni
furaha tu ilisheheni viwanja vya Mahakama ya wilaya Makete wakati wa
maadhimisho ya siku ya sheria nchini yaliyofanyika katika viwanja vya
mahakama ya wilaya hii leo
Wakili wa kujitegemea Rosemarry Wambali akitoa hotuba yake katika maadhimisho hayoWanafunzi wa shule ya sekondari Iwawa wakifuatilia maadhimisho ya siku ya sheria Nchini
Hakimu Mkazi Mwandamizi Mahakam ya wilaya ya Makete Mh Livin Lyakinana akitoa hotuba yake katika vwanja vya mahakama hiyo
Kiongozi wa dini akisali katika maadhimisho hayo
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Makete akizungumza baada ya kumwakilisha Mkuu wa wilaya hiyo Mh Veronica Kessy
0 comments:
Post a Comment