Home » » PICHA: IGP Sirro amefika katika Msiba wa Mwanafunzi Aliyepigwa Risasi

PICHA: IGP Sirro amefika katika Msiba wa Mwanafunzi Aliyepigwa Risasi

Unknown | Sunday, February 18, 2018 | 0 comments
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Nyakoro Sirro, leo amefika kwenye msiba wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi juzi Ijumaa eneo la Mkwajuni, Kinondoni, Dar. Msiba huo upo nyumbani kwao Akwilina maneo ya Mbezi jijini Dar.

Advertisement
==
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG