Home » » TRA: Makusanyo ya Mwezi Dec 2017 yamepanda hadi trilioni 1.66 sawa na ongezeko la ukuaji wa 17.65%

TRA: Makusanyo ya Mwezi Dec 2017 yamepanda hadi trilioni 1.66 sawa na ongezeko la ukuaji wa 17.65%

Unknown | Monday, January 08, 2018 | 0 comments
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeeleza kuwa, katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Disemba, 2017, imekusanya jumla ya shilingi trilioni 7.87, ikilinganishwa na shilingi 7.27 zilizokusanywa katika kipindi kama hicho kwa mwaka wa fedha wa 2016/17.

Advertisement
==
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG