Polisi
wamesema mwanamke huyo, Sandhya Rani, mwenye umri wa miaka 25 alikuwa
anaelekea nyumbani wakati aliposhambuliwa jana na mshukiwa Karthika
Vanga, ambaye ni mfanyakazi mwenzake wa zamani.
Watu
hao wawili walionekana wakijibizana kabla ya mwanamume huyo kuchukua
mafuta ya taa, na kumwagia mwilini na kumchoma moto ambapo inadaiwa Bw.
Vanga amekuwa akitaka kumchumbia Bi Rani kwa kipindi cha miaka miwili.
Mwanamke
huyo alikuwa amekataa mara kadhaa kuchumbiwa na bwana huyo ingawa
polisi wanasema haijulikani iwapo kulikuwa na malalamishi dhidi ya mtu
huyo
0 comments:
Post a Comment