Kiongozi wa muungano wa upinzani Kenya wa National Super Alliance Raila Odinga amesema kuwa naye pia ataapishwa kuiongoza Kenya.
Amesisitiza kwamba hamtambui Bw Kenyatta kama rais wa Kenya.
Akihutubia
wafuasi wake karibu na uwanja wa Jacaranda ambapo upinzani ulizuiwa
kuandaa mkutano, amesema ataapishwa na mabaraza ya wananchi tarehe 12
Desemba.
0 comments:
Post a Comment