Home » » MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA NJOMBE MH:NEEMA MGAYA AKABIDHI MASHIE ZA KUSHONEA NGUO ,VITABU VYA SHULE ZA SEKONDARI PAMOJA NA VIFAA VYA MICHEZO WILAYANI MAKETE MKOANI NJOMBE.

MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA NJOMBE MH:NEEMA MGAYA AKABIDHI MASHIE ZA KUSHONEA NGUO ,VITABU VYA SHULE ZA SEKONDARI PAMOJA NA VIFAA VYA MICHEZO WILAYANI MAKETE MKOANI NJOMBE.

Unknown | Wednesday, November 22, 2017 | 1comments
Baadhi ya viongozi wa chama na serikali wa wilaya  ya Makete wa kikabidhiwa vifaa hivyo.

 Mh.Mgaya akizungumza juu ya utekelezaji wa sera ya uchumi wa kati na kuelekea nchi ya viwanda.
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Mwl.Gregol Emmanueli ambaye pia ni msimamizi wa Uchaguzi Wilaya Ya Makete akishukuru msaada huo kwaniaba ya wanamakete.
 Tim ya mpira wa miguu ya Wilaya ya Makete baada ya kukabidhiwa vifaa vya mic




 Mh.Magaya akikabidhi baadhi ya vifaa vya michezo kwa Wachezaji wa tim ya wanawake Makete.
Katibu wa chama cha mapinduzi  wilaya ya Makete akishuudia wachezaji wakipiga picha na Mh.Mgaya.



Mh. Neema Mgaya akikabidhi Vitabu vya Ziada kwa baadhi ya shule za secondari za Makete.


 Mh.Mgaya akizungumza na wanafunzi walioshiriki makabidhiano hayo.



Share this article :

1 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG