Baadhi ya viongozi wa chama na serikali wa wilaya ya Makete wa kikabidhiwa vifaa hivyo.
Mh.Mgaya akizungumza juu ya utekelezaji wa sera ya uchumi wa kati na kuelekea nchi ya viwanda.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Mwl.Gregol Emmanueli ambaye pia ni msimamizi wa Uchaguzi Wilaya Ya Makete akishukuru msaada huo kwaniaba ya wanamakete.
Tim ya mpira wa miguu ya Wilaya ya Makete baada ya kukabidhiwa vifaa vya mic
Mh.Magaya akikabidhi baadhi ya vifaa vya michezo kwa Wachezaji wa tim ya wanawake Makete.
Katibu wa chama cha mapinduzi wilaya ya Makete akishuudia wachezaji wakipiga picha na Mh.Mgaya.
Mh. Neema Mgaya akikabidhi Vitabu vya Ziada kwa baadhi ya shule za secondari za Makete.
Mh.Mgaya akizungumza na wanafunzi walioshiriki makabidhiano hayo.
1 comments:
safi
Post a Comment