
Mwimbaji wa nyimbo za Injili PETER MTARANYA kutoka
NAIROBI nchini KENYA amezungumzia ujio
wa albam yake ya video yenye jumla ya
nyimbo nane inayokwenda kwa jina la FUNGUA MACHO albam iliyosheheni ujumbe mzito wa
Mungu kwa Wakenya na Dunia kwa Ujumla ambapo kwa sasa tayari iko maduka katika
maduka ya DVD nchini KENYA.
Mtumishi wa Mungu PETER
ameyasema hayo wakati akizungumza na AFRICANI NEWS BLOG ambapo amesema kwa sasa ameanza jitihada za
kulitafuta soko la ndani na nje ya nchi hasa kupitia mitandao ya kijamii.
Aidha
ametoa rai kwa
waimbaji wa nyimbo za Injili kuimba huku wakizingatia kuwa uimbaji
nisawa na kuhubiri Injili,pia amasema kabla hajaokoka alifanya mambo
mangi yasiyo mpendeza Mungu
lakini tangu ameokoka amemwona MUNGU akimpigania.
Ktk hatua nyingine amesema
anaamini muziki wa Injili unaweza kumsaidia katika kufanikisha maisha yake
kupitia nguvu ya Neno la Mungu na kwamba unapofanya kazi ya Mungu lazima umwone yeye
aliye Juu.
Mtumishi
wa Mungu PETER MTARANYA
amesema kupitia kitabu cha Mathayo 6:33 utafuteni kwanza Uflam wa Mungu
na
haki yake yote na kumuishia Mungu, ameongeza kuwa shetani pia alikuwa
kiongozi wa sifa wa MUNGU na hivyo kwawaimbaji wasiwe na mazoea katika
huduma ,
Tazama video zake hapa:-
br /> Tazama video zake hapa:-
UNAWEZA KUONA JINSI MUNGU ANVYO MTUIA MTUMISHI WAKE KTK VIWANGO VYA JUU
KEEP IT UP
0 comments:
Post a Comment