Home » » Tazama Hapa Kauli ya Diamond Kuhusu Ndoa ya Ali Kiba

Tazama Hapa Kauli ya Diamond Kuhusu Ndoa ya Ali Kiba

Unknown | Friday, April 20, 2018 | 0 comments
Ikiwa leo April 19, 2018 msanii Alikiba ameoa, mshindani wake kimuziki Diamond Platnumz hajakaa kimya kwenye hilo.

Diamond amefunguka kuwa amepewa taarifa za Alikiba kuoa siku ya leo, hivyo amemtumia salamu na kumtakia maisha mema ya ndoa. Kupitia ukurasa wake wa Intagram tumegulia kile alichogusia kuhusiana na ndoa ya Alikiba;

"Ni Mwendo wa Picha za Suti tu sasa hivi, Maana nisije nikafungua hata kashati nikajikuta Centro...Pole yenu Wa zee wa Gym, Kama Muscat Round hii🤣🤣🤣.... Wadau Nimeambiwa King Kiba kaoa leo...Mfikishieni Salam zangu, za Ndoa njema, na Maisha yenye Furaha, Amani na Baraka tele...🔥🔥🔥 " ameandika  Diamond.

Msanii Alikiba amefunga ndoa na mpenzi wake  Aminah Rekish  mjini Mombasa nchini Kenya.

Advertisement
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG