Mkuu wa shule hiyo Mwalimu Sayuni Sanga akisoma taarifa ya shule kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe Ndugu Jasel Mwamwala akizungumza kwenye ziara hiyo
Mkuu wa mkoa akikagua miundombinu ya shule hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Njombe akikagua vyoo vipya vilivyojengwa shuleni hapo
Muonekano wa shule
Bweni wa wanafunzi hao