Home » » WANAUME MAKETE WASHAULIWA KUSHIRIKI UZAZI WAMPANGO

WANAUME MAKETE WASHAULIWA KUSHIRIKI UZAZI WAMPANGO

Unknown | Wednesday, December 13, 2017 | 0 comments


 
Wito umetolewa kwa wanaume wilayani makete mkoani njombe kutambua umuhumi wa  kushiriki katika uzazi wa mpango ili kuleta maendeleo hapa nchini 

Akizungumza na Kitulo Fm muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Makete  Bi.Anna  Mbilinyi amesema umuhimu wa wanaume kushiriki katika uzazi wa Mpango husaidia kuinua uchumi na kuleta maendeleo katika Famili na Taifa kwa ujumla

Bi.Anna Mbilinyi amesema  Wilaya ya Makete wanaume wamekuwa na mwitikio mdogo na ni wanaume  wachache wanao kubaliana na suala hilo
  
Pia amesema uzazi wa mpango unaweza kumkinga mtu na mangojwa mbalimbali ya kuambukizwa kama Virusi vya Ukimwi,Kaswende na magonjwa mengine mbalimbali.
   



Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2018. AFRICAN NEWS BLOG - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inaendeshwa na AFRICAN NEWS BLOG