Baada ya msanii wa filamu, Bongo Wema Sepetu kurudi CCM kutokea Chadema, hatimaye amevunja ukimya na kufunguka ya moyoni.
Wema amesema hawezi sana kulizungumzia hilo kwa sababu maamuzi yalishafikiwa lakini anajihisi kukatishwa tamaa.
“Yaani
it so complicated najikuta sipo kwenye position ya kuielezea in simple
English or Swahili, siwezi lakini tubaki tu tunaomba Mwenyenzi Mungu
kwamba everything it will be ok one day inshallah” Wema ameiambia K Fm,
Rwanda.
“I
am strong, nisingekuwa strong nisingekuwa hapa sasa hivi najaribu
kusali kwa hii hali, muda mwingine kama bidamu inakuwa inanivunja moyo
najihisi nimekatishwa tamaa, yaani ok! acha nimuachie Mungu” ameongeza.

0 comments:
Post a Comment